Friday, July 27, 2012

WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WANAVYOTESEKA

Hawa ni wanafunzi wamepewa adhabu baada ya kufanya makosa mbalimbali ikiwemo kuchelewa shule na hali kama hii inafanyika mara nyingi sana katika shule za msingi za serikali.

Hapa wanafunzi wanaendelea na mtihani na wanalazimika kufanyia nje kutokana na uhaba wa madarasa na hali hii ipo sana katika shule za serikali.