Aliyevalia fulana nyeusi wa mbele kabisa ni mtuhumiwa wa Batery kwenye nyaya za simu Bw, Edwad Makwimba na nyuma ni mtuhumiwa mwenziye Bw, Dedan Mvungi wakiwa
wamewekwa chini ya Ulinzi baada ya kukutwa wanaiba betry kwenye minara ya Simu.Watuhumiwa hao walikamatwa eneo
la Jeti Rumo wilayani Temeke Juzi, ambapo kampuni ya Ulinzi Kiwango
iliwakamata kwa kushirikiana na Polisi waliokuwa wakifanya Doria maeneo hayo.
|