Meneja wa huduma za internet katikati Bw, Titos Kafumu akiongea na waandishi wa habari leo hii katika makao makuu ya Tigo kuhusiona na huduma mpya ya Tigo jamaa ya kusaidia kuwaunganisha wateja wanaotumia mtandao wa tigo katika huduma ya internet kwenye simu zao. kulia ni afisa uhusiano wa Tigo Alis Maro na wa kwanza kushoto ni mtaalamu wa operesheni wa huduma za tigo Bw, Edward Shilla. |