Msanii wa Filamu nchini Wastara Juma, mke wa msanii Juma Kilowoko (Sajuki) ambaye ni mgonjwa akizungumzana
waandishi wa habari kuhusu kuzinduliwa kwa Filamu maalum ijulikanayo kwa jina
la Sayla kwaajili ya kumchangia mumewe mgonjwa ikiwa na malengo ya
kupata fedha kwaajili ya muendelezo wa matibabu, kushoto ni msanii ambaye
ameshiriki filamu hiyo Wema Sepetu.
|