Monday, July 2, 2012

TIGO YAWAPAGAWISHA WATEJA WAKE WILAYANI KAHAMA

Msanii H.baba akiwapa burudani wateja wa Tigo waliohudhuria katika Tamasha la Tigo lililoandaliwa  na Tigo  wilayani Kahama ambapo wengi wa wateja wa Tigo waliweza kushuhudia Burudani iliyoatolewa na Msanii huyo.

Msanii ambaye jina lake halikuweza kufahamika kwa haraka akionyesha mambo yake kwenye Tamasha hilo.

Wahudumu wa Tigo wakitoa huduma kwa wateja waliokuwemo kwenye Tamasha hilo ambapo   wateja wengi wa Tigo  walipata fursa ya kusajiliwa namba zao bure pamoja na kuondoka na zawadi kibao ikiwemo Tishirt.