Tuesday, July 17, 2012

TIGO YAWAKUTANISHA MABLOGGER




Baadhi ya Wamiliki wa Mitandao mbali mbali nchini wakiwa kwenye picha ya Pamoja wakati wa Tafrija Fupi iliyoandaliwa na Kampuni ya simu za Mkononi Tigo ambapo ilikuwa na lengo la  kufahamiana na kujenga mahusiano.

Katikati ni Zainul Mzige wa Mo Blog akifurahia katika tafrija hiyo.

Kulia ni PR Agencies wa Tigo kutoka Trinity  na kushoto ni wadau wa Mitandao(Bloggers)
 

Bloggers wakiwa kwenye pozzzz

Wapo kazini

Maofisa wa Tigo wakifurahia jambo Pamoja na Bloggers