Msanii wa Muziki wa kizazi kipya maarufu kama Barnaba akiwapagawisha wateja wa Tigo waliohudhuria kwenye Tamasha lililoandaliwa na Mtandao wa simu za Mikononi Tigo lililofanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya Coco Beach ambapo wateja wengi wa Tigo waliohudhuria kwenye Tamasha hilo waliondoka na Zawadi mbalimbali ikiwa ni Pamoja na kushuhudia Mechi ya Hispania na Italy iliyofanyika jana Usiku. |