Monday, July 2, 2012

TANESCO YAPIGA HATUA: YAPATA UMEME WA GAS MEGAWATI 105 TENA

Waziri wa nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo,mbele akielekezwa jambo na mmoja wa wataalamu kutoka katika shirika la umeme nchini,Tanesco mara baada ya kuzindua mtambo mpya wa kuzalisha umeme wa megawat 105 ulioongezwa katika gridi ya Taifa 

Mkurugenzi mtendaji wa Tanesco Mhandisi William Mhando,akisoma risala kabla ya kumkaribisha waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kwenda kuzindu kituo cha kufua umeme kwa Gesi Asilia cha MW 105 Ubungo 11

Waziri wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo,akionyesha jiwe la la Msingi kuashiria uzinduzi  wa kituo cha kuzalisha umeme wa gesi asilia jana katika makao makuu ya Tanesco jijini Dar es Salaam.