Tuesday, July 24, 2012

TIGO YAMWAGA MILIONI 10 KWA MSHINDI WA TIGO BEATS

Afisa Viwango kutoka Tigo, Pamela Shilokinde(Kulia) akisikiliza simu ya mshindi wa Tigo   Khamis Athman kutoka Morogoro, kuwa ni mshindi wa Tigo beats ambapo ameshinda kiasi cha shilingi milioni kumi. Athmani anashi Morogoro na ni mkulima wa Mpunga.Wakati huohuo Tigo ilitangaza Kuwepo kwa huduma nyingine mpya itakayo mwezesha mteja kupiga simu na kupata mawaidha ya Kiislamu.

Hapa wakijaribu kupiga simu yake tena baada ya kuita pasipo kupokelewa.