Tuesday, July 24, 2012

SERIKALI KUANZA KUSHIRIKIANA NA ASASI ZISIZO ZA KISERIKALI

Naibu katibu mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw, Habu Mkwizu, Yambesi wakati akifungua mkutano wa ushirikiano baina ya Serikali na Asasi zisizo za Kiserikali ambapo amesema kuwa Serikali ya Tanzania Itaanza kushirikiana na kutoa Taarifa kwa Uwazi zaidi
kwa Asasi za Kiraia kwa lengo la kutaka kuimarisha zaidi Utoaji wa Huduma
Bora kwa Wananchi wa hapa nchini ambapo hii ni awamu ya pili ya utekelezaji
wa awamu ya kwanza
Habu mkwizu akisoma hotuba yake Katibu mkuu

Baadhi ya Wadau waliohudhuria katika mkutano huo