Mchungaji wa kanisa la Benny Hinny Ministry akiongea na
waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusiana na Namna anavyopinga
kile kinachosemwa pamoja na kuogopwa na watu Freemasons ambapo alisema kuwa
Watanzania hawana haja ya kuogopa wala kuwa na hofu kuhusina na Jambo hilo ila
wanatakiwa kujengeka katika imani.
Aidha aliwataka viongozi wa Nchi akiwemo Rais pamoja na mawaziri wake kutowapeleka wananchi kuzimu ila wawaongoze wananchi katika maadili ya kumjua Mungu.
|