Mchezaji wa timu ya Simba ya Tanzania akijaribu kuondoka
na mpira kuelekea golini mwa timu ya Azam FC katika mchezo uliofanyika jana jioni kwenye
uwanja wa taifa ikiwa ni michuano ya Kombe la Kagame,Mpira ulimalizika huku
Azam FC ikiwa imeshinda magoli 3-1 dhidi ya timu ya Simba yaliyofungwa na
mshambuliaji John Boko (Adebayor) wakati lile la Simba limefungwa na
Shomari Kapombe.
|