Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika mazishi ya
kada wa CCM mzee Azzan Ally Mangushi yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu
jijini Dar es Salaam leo mchana. Mzee Mangushi aliwahi pia kuwa mjumbe wa
Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Kinondoni.
|