Tuesday, July 24, 2012

RAIS WA GHANA AAGA DUNIA

r
Rais wa Ghana  John Atta amefariki dunia wakati alipokuwa kwenye hosipitali mojawapo mjini Accra alipokuwa akipatiwa matibabu.  Taarifa kutoka ofisi ya Rais Nchini humo zinasema kuwa Atta alifariki  baada ya kupelekwa hosipitali siku ya jumatatu.