Rais
Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma, wakicheza mchezo wa bao
walipotembelea banda la Shirikisho la Mchezo wa Bao Tanzania (Shimbata),
kwenye Maonesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya
Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam ambapo katika Mchezo huo Rais Kikwete alimfunga Mkewe.