Tuesday, July 10, 2012

MSANII AUMIA AKIWA JUKWAANI NA KUSHINDWA KUENDELEA NA SHOW

Msanii Manyata kutoka kundi la Mpoto thieter Gallery ltd akitoa burudani kwenye tamasha la kuelimisha wanawake namna ya kujikinga na kupata tiba ya ugonjwa wa Fistula ambapo wakati msanii huyo akinengua aliteguka mguu na kushindwa kuendelea na Show.

Msanii Manyata akisikilizia maumivu baada ya kuumia.

Hapa akipewa huduma ya kwanza na daktari aliyekuwepo maeneo hayo.

Hapa akijaribu kusimama hata hivyo alishindwa kutokana na maumivu makali

Bango linaloonyesha upingaji wa Fistula.

Manyata akikandwa mguu na wasanii wenzake.