Sunday, July 15, 2012

MBELGIJI WA YANGA AANZA NA MKOSI

Juma Abdul kutoka Yanga akijaribu kumnyang'anya mpira mchezaji wa Atletico, ambaye ni Beki wa Timu hiyo anayefahamika Henry  Aambapo katika mchezo huo Yanga walilala na magoli mawili kwa  sifurAdd caption
Wachezaji wa Yanga pamoja na Atletico wakiwa uwanjani wakifanya mambo yaon

Wana Yanga wakiwa wanashabikia  hatakama wamelimwa 2-0Add caption