Katibu mkuu wa Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA)Dk Slaa Pamoja na aliyekuwa mbunge wa Arusha njini Bw,Godbless Lema wamefika katika wizara ya Mambo ya ndani baada ya hutakiwa kufanya hivyo na waziri wa Mambo ya Ndani Mh, Emanuel Nchimbi ii kujibu shutuma walizodai kuwa kuna mkakati wa Usalama wa Taifa kuwadhuru baadhi ya viongozi wao wakiwemo Dk Slaa mwenyewe, Lema, pamoja na Mbunge wa Jimbo la Ubungo John Mnyika. MAASINDA itazidi kukuhabarisha zaidi yatakayokuwa yanaendelea. |