Sunday, July 29, 2012

KIKWETE AFURAHI NA KIKONGWE


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Bibi Antonia Mbagalla (85) katika kijiji cha Msoga, kata ya Chalinze Wilayani Bagamoyo ambapo pia ndio maeneo ya kijiji cha Rais wetu wakati wa mapumziko ya mwisho wa wiki leo(Jumapili).

Bibi nimefurahi sana kukutana na wewe