Sunday, July 29, 2012

HII NI FOLENI YA KUPEWA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Hawa ni baadhi tu ya watu waliokutwa na kamera ya MAASINDA wakiwa kwenye foleni ya kujiandikisha kwa ajili ya kupewa vitambulisho vya taifa wakati mbio za kujiandikisha zikielekea ukingoni.

Wengine mpaka wamechoka kusimama na ukizingatia wanaswaumu tena kali.