JOSE CHAMILEONE AANDAMANA MPAKA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UGANDA
Mwanamuziki maarufu Afrika Mashariki kutoka Nchini
Uganda Jose Chameleone akiwa nje ya jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda
na mabango sambamba na wapambe wake akishinikiza apatiwe passport yake ambayo
anadai inashikiliwa na Bwa.Erick Shigongo.
Askari wa Nchini Uganda wakihakikisha ulinzi unakuwepo nje ya Jengo la Ubalozi wa Tanzania Nchini Uganda wakati wa maandamano hayo.