Sunday, July 29, 2012

ILIVYOKUWA KATIKA TAMASHA LA SIKU YA WACHAGA JANA KTK UKUMBI WA LEADERS

Hawa nibaadhi tu ya wadau waliokuwepo katika tamasha hilo ambapo
  hapa wanaonekana wakipata mbege pia kulikuwa nabaadhi ya vyakula vya kiasili kama mseto Kiburu, ndafu, shiro, kitawa,macharari, ngararimo, ng’ande, kisusio, mtori, Kisusio na vingine vingi

Wadau wakipata burudani ikiwemo vyakula na pombe mbalimbali wakati wa tamasha la CHAGGA DAY lilofanyika katika  viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam jana na kushirikisha watu mbalimbali wa makabila ya kichaga, ambapo kulikuwa na vyakula vya kiasili, vinywaji na mambo mbalimbali ya kiasili

Bendi ya Msondo ngoma ikitumbuiza katika Tamasha hilo