Monday, July 30, 2012

MGOMO WA WALIMU WACHCHAMAA KATIKA SHULE ZA MSINGI

Wanafunzi wa shule ya msingi Makuburi manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,  wakiwa wameuchapa usingizi baada ya kuchoka kuwasubiri walimu kuja kufundisha bila mafanikio.

Hawa ndo wameamua kabisaa kuutandika usingizi

Wanafunzi wakiwa wanacheza muda wa Darasani baada ya walimu kugoma