Thursday, July 19, 2012

HALI ILIVYO ZANZIBAR

Baadhi ya Maiti za watoto zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit iliozama zikiwa katika Eneo la Maisara kwa ajili ya kutambuliwa na Nduguzao.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo katika eneo la Tukio.

Twende tukatambue maiti za wapendwa wetu