Ndege ya Air Tanzania aina ya Boeing yenye namba 737, leo imeshindwa kuruka kutokana na matatizo yaliyojitokeza na kusababisha abiria kushinndwa kuendelea na Safari. Kwa mujibu wa Abiria walioko eneo hilo wamesema kuwa walikuwa wanasafiri kuelekea Mwanza na wamefika hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro kuanzia Hasubui. Mpaka hivi sasa Abiria waliokuwa wasafiri na Ndege hiyo wameshindwa kuendelea na safari na hivyo. |