Kutoka kushoto ni Mtaalamu wa Promosheni uhusiano na udhamini Tigo Bw, Edward Shilla(katikati) Mkurugenzi Mtendaji wa Orijini Komedi Bw, Isaya Mwakilasa na mwisho ni Afisa Habari wa Tigo kwa pamoja wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari ambapo uliohusu Tamasha maalum kwa ajili ya kusherekea Sabasaba litakalo fanyika katika viwanja vya Coco Beach week end hii. Ambapo wasanii mbali mbali watakuwepo wakitoa burudani.alitaja wasanii watakaokuwepo kuwa ni Juma Nature, Roma Mkatoliki, Izzo B, Profesa J, Mwasiti Barnaba Fid Q, Joh Makini pamoja na Burudani Maalumu itakayotolewa na Kundi la Orijino Komedi. |