Ni jinsi ambavyo watu wanakuwa na hasira na wezi mpaka wanaamua kujichukulia sheria mkononi huyu kijana wa maeneo ya Tandika kwa mtogole aliiba simu aina ya Blackberry akapigwa mpaka kufikia hali hii na kijana huyu alikufa kutoka na kichapo cha wananchi hao wenye hasira kali. |