Baadhi ya Watoto wakivua samaki kwenye mfereji wa maji machafu (ya chooni) kwa ajili ya kufuga jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao kama walivyo kutwa na kamera yetu maeneo ya Tabata jijini Dr es Salaam.
Watoto hao wakivizia samaki aina ya Dabotree