Mwanamuziki wa kizazi kipya Hamis Baba maarufu kama H.Baba
akitoa burudani kwa wakazi wa Mbulu Jiji ni Arusha kwenye Tamasha lililoandaliwa na Kampuni ya
simu za mkononi Tigo ambapo wateja wengi wa tigo wilayani humo walijiondokea na
zawadi mbalimbali zilizotolewa na Kampuni hiyo.
H.Baba akifanya mabo yake katika Tamasha hilo
Baadhi ya Wateja wa Tigo wakazi wa Mbulu wakipatiwa huduma ya tigo ambayo ni rahisi katika baadhi tu ya vibanda vya tigo wilayani humo.
Kikundi cha sarakasi kikitumbuiza katika Tamasha hilo.