Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kuwajulisha
wanafunzi wote waliohitimu vyuo vya afya nchini mwezi Machi 2012,
kufika Wizarani ili waweze kuchukua barua za kupangiwa vituo vya kazi
kabla ya tarehe 30 June,2012.
Pia waombaji wengine waangalie majina yao kwenye
website ya Wizara www.moh.go.tz
Imetolewa na:
Regina L. Kikuli
Kaimu Katibu Mkuu
21/06/2012
|