Friday, June 1, 2012

USAFI JIJINI

Mwanamke aliyekutwa na Kamera ya MAASINDA akihakikisha hamna uchafu katika barabara za Dar mwanamke huyu hana kifaa chochote cha kumkinga afya yake.