Mbuzi aliyekutwa akila majani Maeneo ya Tabata Relini maarufu kama (bondeni) Jijini Dar es Salaam, ambapo mahali hapo palikumbwa na Mafuriko hii in ashiria kwamba bado kuna watu wanao ishi maeneo hayo wakati washapewa viwanja Mabwepande. Je, Mabwepande kuna mahali pa kulishia Mbuzi???