Kituo cha mabasi kilichopo maeneo ya Karume
jijini Dar es Salaam kikiwa kimeanguka kutokana na ujengaji mbovu huku maji
machafu yakiwa ni kero kwa abiria wanaohitaji kusimama katika eneo hilo.
Barabara hii inatumiwa sana na Viongozi wa Mbalimbali wa Serikali kwani ni njia
moja wapo inayotumika kwenda katika ofisi za viongozi wa Serikali.