Monday, June 11, 2012

UMRI SAHIHI WA LULU WAHITAJIKA MAHAKAMANI

Mahakama ya DSM leo imewataka watu wanaoshughulikia taratibu za umri wa muigizaji Elizabeth Michael(Lulu) kupeleka taarifa za umri wake ili kesi iweze kuendelea.