Monday, June 11, 2012

PULLTABLE LA KIJIJINI

Watoto katika kijiji cha Levolosi mkoani Arusha wakifurahia mchezo wa Mezani maarufu kama Pulltable kwenye meza waliyoitengeneza kwa udongo na miti.