Thursday, June 28, 2012

TUKTA WAIKOSOA BAJETI YA SERIKALI NA KUSEMA KUWA IMEPUUZA MAMADAI YA WAFANYAKAZI

Katibu mkuu wa Chama cha wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Bw Nicholaus Mgaya akizungumza na Waandishi wa habari leo katika ofisi za TUKTA Jijini Dar es Salaam kuhusiana na maoni yao juu ya  Bajeti ambapo alisema kuwa Bajeti ya Serikali Imepuuza madain ya Wafanyakazi na hii ni kutokana na sekta nyingi za wafanyakazi kutoongezewa Mishahara pamoja na Posho na akataja baadhi ya Secta kuwa ni ikiwemo Madaktari na Walimu.