Saturday, June 9, 2012

TIGO YAZIDI KUWAPAGAWISHA WATEJA WA BABATI

 H,baba akifanya mabo yake kwenye tamasha la Tigo lililofanyika wilayani Babati ambapo wengi wa wateja wa Tigo walijipatia zawadi mbalimbali ikiwemo simu, Tishirt na kofia. Ziara hiyo ya Tigo inaendelea kufanyika mikoani.
 H. Baba akiwa jukwaani huku watoto wakifurahia uwepo wake na kushindwa kuzuia hisia zao wakaamua kucheza naye,
Mtoto ambaye jina lake halikuweza kufahamika kwa urahisi akiimba moja ya nyimbo ya H. baba katika tamasha hilo la Tigo