Baadhi ya washiriki waliohudhuria kwenye maonyesho hayo
Mkurugenzi wa maonyesho hayo Bw, Zenno Ngowi akitoa neno la shukrani wakati wa maonyesho hayo
Makamu wa Rais akisoma risala yake wakati wa maonyesho hayo ambapo alielezea umuhimu wa kuwepo kwa maonyesho hayo kwani yanamwezesha mtanzania kujua wepesi wa kukopa nyumba kutoka katika mashirika mbalimbali ya benki nchini.
Wajumbe wa Tanzania homes Expo wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais.
Wawakilishi wa Exim Bank na clouds Tv wakiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa wakionyesha vyeti vyao baada ya kukabidhiwa kutokana na kujitolea kudhamini maonyesho hayo.
Kikundi cha ngoma kutoka Mabindu art kikitoa burudani wakatiwa maonyesho hayo.