Tuesday, June 5, 2012

AJALI MBAYA

Kijana ambaye jina lake halikuweza kufahamika kwa urahisi akiwa amegongwa na gari ambalo halikuweza kufahamika kwani dereva alikimbia  na gari. kama walivyo kutwa na kamera ya MAASINDA BLOG maeneo ya Kibaha mkoani Pwani nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.