Tuesday, June 12, 2012

MKUTANO WA NAMNA WAJASIRIAMALI WATAKAVYOSINDIKA VYAKULA WAFANYIKA LEO JIJINI DAR.

Mkurugenzi wa asasi za kiraia kitengo cha wajasiriamali Bw, Casmir Makoye akizungumza leo katika mkutano uliowahusisha wajasiriamali mbalimbali kuhusiana na namna ya usindikaji wa vyakulambalimbali ambapoalisema kuwa  uzalishaji wa alizeti umeongezeka katika mikoa mbalimbali ikiwemo Singida, Dodoma, na Manyara. Mkutano huo umefanyika leo katika Hoteli ya Peackcook jijini Dar es Salaam.