Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa akifungua mkutano wa siku
mbili wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha jana mjini Dar es salaam.
Mtendaji
Mkuu wa Benki (Chief Executive Officer ) ya NMB Mark Wiessing (katikati)
akimkabidhi Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa(wa pili kushoto) mfano wa
hundi ya shilingi bilioni saba nukta tisa(7.9 ) leo mjini Dar es salaam
ikiwa ni gawio kwa Serikali ya Tanzania kutokana na faida iliyopata.
Wengini ni Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene (kushoto) ,Naibu
Waziri wa Fedha Saada Salum (kulia) na Meneja Mwanandamizi anayeshughulikia
masuala ya Serikali wa NMB Domina Feruzi.