Friday, June 1, 2012

MGAMBO HAWANA HURUMA NA WAMACHINGA DAR

Askari Mgambo wa jijini Dar es Salaam wakiwafukuza wamachinga wanaofanya bihashara katika maeneo yasiyoruhusiwa pembezoni mwa barabara ya Uhuru Maeneo ya Karume jijini Dar esSalaam kama walivyokutwa na kamera Ya MAASINDA leo.