Wednesday, June 27, 2012

KONGAMANO LA INJILI LAFUNGULIWA MAKUTI KAWE NA KANISA LA THE LIVING WATER JIJINI DAR

Makanisa ya Living water Centre yenye makao makuu yake Makuti kawe jijini Dar es Salaam yameandaa Kongamano la  Udhihirisho la kiinjili ambalo lilianza jana katika makao makuu ya Makanisa hayo ambapo kongamano hilo linatarajia kuisha tarehe 1 mwezi wa saba mwaka huu.


Askofu Mstaafu wa kanisa  Tanzania Asemblies of God Bw, Emanuel Lazaro akifungua kongamano hilo ambapo aliwa. taka watu kuhudhuria ili waweze kufunguliwa kiroho na kiimani.