Wednesday, June 13, 2012

BAKWATA WATOA MSIMAMO WAO KUHUSIANA NA KUTOKUKUBALIANA NA KIKAO CHA SENSA

Msemaji wa jopo la viongozi wa kiislamu mkutano wa Dodoma kutoka  Baraza kuu la Jumuia ya kiislamu  Tanzania (BAKWATA)  Amiri Sheikh Mussa Kudecha (katikati) akisisitiza jambo baada ya kusoma barua hiyo walioiandaika kwa ofisi ya sensa juu ya kupingana na kikao cha Sensa cha juni 11 mjini Dodoma, kutoka kushoto ni Omari Msinzia Katibu Vijana Bakwata na wapili kukulia ni Sheikh Kondo Juma Amiri wa Wahadhiri nchini. Wakwanza kulia ni Afisa habari BAKWATA Taifa Bw, Shabani Issa

Msemaji wa jopo la viongozi wa kiislamu mkutano wa Dodoma kutoka  Baraza kuu la Jumuia ya kiislamu  Tanzania (BAKWATA)  Amiri Sheikh Mussa Kudecha akiongea na waandishi wa habari kuhusian na msimamo wao