Wednesday, June 20, 2012

AMVAMIA MKUU WA MKOA NA KUTAKA MATUTA KATIKA BARABARAYA MTAANI KWAKE

Bwana Musa Lusonzo kutoka Chanika jijini Dar es Salaam akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam juu ya Kero ya kutokuwa na Matuta katika bara bara ya Chanika anakotoka ambapo alimtaka mkuu wa mkoa kuhakikisha kuwa tatizo hilo linafanyiwa ufumbuzi kutokana na kuwa ajali zinatokea maranyingi katika maeneo hayo, hata ivyo mkuu wa mkua aliahidi kuyafanyia kazi.