Sunday, May 27, 2012

UHARIBIFU MKUBWA WAFANYIKA ZANZIBAR GARI NA KANISA LACHOMWA.

GARI la kiongozi wa kanisa la Tanzania Assemblies of God TAG Askofu Dickson Maganga lililochomwa moto na watu wasiojulikana katika mji wa Kariakoo Mjini Zanzibar ambapo watu hao walichoma pi kanisa la Mchungaji huyo.