Sunday, May 27, 2012

MASHINDANO YA JUDO YAENDELEA LANDMARK JIJINI DAR

WASANII  kutoka kikundi cha Ngoma maarufu kama  WANNE STAR GROUP wakitoa burudani wakati wa mashindano ya Mchezo wa Judo yanayoendelea hivi sasa katika ukumbi wa LandMark Hotel jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wachezaji wa Mchezo wa judo kutoka Zanzibar na Tanzania wakisubiri zamu yao ya kwenda kucheza katika mashindano hayo.
Mchezaji aliyefahamika kwa jina Moja la Martin Kutoka Tanzania Polisi Mara akimkandamiza mshindani wake kutoka Zanzibar aliyefahamika kwa jina moja la Mohammad ambapo katika pambano hilo alishinda Martin kutoka Polisi Mara.