Meneja
wa Huduma za malipo ya kabla Tigo Bw, Suleiman Bushagama akizungumza na
waandishi wa habari leo hii makao makuu ya tigo jijini Dar es Salaam
katika uzinduzi wa promosheni mpya ya iitwayo Xtreme Pack ambapo mteja wa tigo
anaweza kutuma meseji mbili za kulipia na kupata meseji tano za bure kwenda
mitandao yote nchini. ambapo Kwakupiga *148*01# au kutumaneno XTREME kwenda
namba 15509, wateja wa huduma yakulipia kabla watafurahia huduma za thamani
ambazo ni pamoja na dakika 15 za muda wa maongezi zitakazowawezesha kupiga simu
Tigo kwa Tigo, sms 100, 50 MB kwa ajili ya kuperuzi facebook, kutumia mtandao,
E-mail pamoja na Twitter,vyote hivyo kwagharama ya Tsh 450 nakuokoa sh 4,600!
Pia tigo itatuma ujumbe mfupi wa maneno bure kwa wateja wao, kuwataarifu juu ya
ukomo wa matumizi ya vifurushi vyao na kuwaruhusu kujiunga tena kama watahitaji
ambapo promosheni hiyo inaanza kutumika rasmi kesho kushoto ni Titus
Kafuma meneja wa Tigo internet na kulia ni Alice Maro Msemaji wa Tigo, Naye
afisa mahusiano wa Tigo Bi Alice Maro alisema kuwa wanatafuta njia thabiti ya
kuhakikisha kuwa wateja wao wanapata huduma zinazoendana na thamani ya pesa
zao.
Mmoja
wa waandishi wa habari Omary Katanga kutoka Redio one akiuliza swali kwenye
mkutano huo pamoja na waandishi wa habari wengine wanaoonekana nyuma yake.
Baadhi
ya waandiushi wa habari waliohudhuria kwenye uzinduzi huo wa Xtreme Pack ya
Tigo.