WAZIRI wa Maliasili na utalii Mhe. Balozi Khamisi S. Kagasheki (Mb) (katikati), Akizungumza kwenye kikao cha kuzindua Bodi ya ushauri na wakala wa huduma za Misitu Tanzania (TFS) uzinduzi huo ulifanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa wizara ya Maliasili na utalii, kulia ni Naibu waziri wa maliasili na utalii Mhe, Lazaro Nyalandu na kushoto ni Katibu mkuu wa wizara hiyo , Maimuna Tarishi.
Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria kwenye mkutano huo
WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mhe, Balozi Khamisi Kagasheki Akihojiwa na waandishi wa habari juu ya uzinduzi wa Bodi ya ushauri ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS),alioufanya leo jijini Dar es Salaam