Wednesday, May 23, 2012

JANUARY MAKAMBA AIPA TCRA WIKI MBILI KUSHUGULIKIA TATIZO LA NETWORK KWENYE MITANDAO YA SIMU

 Naibu waziri wa Nishati na Madini January Makamba akiongea na waandishi wa habari leo hii katika makao makuu ya mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakati wa ziara yake katika makao makuu hayo ambapo aliipa  TCRA wiki mbili kufwatilia na kujadili na kutoa taarifa juu ya kero za mawasiliano kwenye mitandao ya simu ikiwemo kukatika kwa network, pamoja na huduma za kuhifadhia pesa katika simu.

Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika ziara hiyo ya January Makamba.